MITANDAONI kumekuwa na maswali mengi kwa nini msanii Alikiba amesaini msanii wa kike kutoka Rwanda, Mutima Wangu ilihali Tanzania kuna wasanii wengi wa kike wanaofanya vizuri.