News
Yanga inasaka rekodi ya kutinga kwa mara ya 10 mfululizo hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho wakati ...
Akielezea hali ya uwekezaji visiwani humo, Mohamed amesema kwa kipindi cha miaka mitano, Zipa imesajili miradi 480 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 6 (Sh16.1 trilioni).
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2025/26 huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisema Serikali itaendelea kuhakikisha kuna hali ya ...
Taarifa ya INEC imeibua mjadala wa wadau wa siasa na sheria, wakihoji inawezekanaje chama kilazimishwe kusaini siku iliyopangwa na tume, ilhali sheria haikuweka ukomo wa siku kwa ...
Taarifa ya INEC imeibua mjadala wa wadau wa siasa na sheria, wakihoji inawezekanaje chama kilazimishwe kusaini siku iliyopangwa na tume, ilhali sheria haikuweka ukomo wa siku kwa ...
Boni Yai mfanyabiashara na mwanasiasa aliyewahi kuwa meya wa Manispaa ya Ubungo na Malisa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro, wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matatu ya kutoa taarifa ...
Wakati Haule akizikwa Kibaha mkoani Pwani leo, mwili wa Nyamo-Hanga unatarajiwa kuzikwa kesho nyumbani Migungani mjini Bunda.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameionya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutowalazimisha wakulima kutumia mashine za kutoa risiti za kielektroniki (EFDs), akibainisha kuwa hakuna ...
Askari waliokuwa kwenye doria maalumu ya kukabiliana na wahujumu uchumi walimkamata mtuhumiwa katika kitongoji cha Isaki Kata ya Njisi, Tarafa ya Unyakyusa akiwa na vipande tisa vya meno ya tembo.
Mayengela amesema siku ya tukio, mshtakiwa alikutwa akiwa na watoto wawili ambapo mmoja kati yao alikuwa akimfanyia shambulio la aibu.
Amesema mafuta matakatifu yanabarikiwa siku ya Alhamisi Kuu na anayepaswa kupaka wagonjwa ni padri na askofu na si watu wengine.
Mbunge huyo amesema kazi kubwa imefanyika chini ya Serikali ya awamu ya sita, lakini tatizo la barabara imekuwa ni changamoto inayotia doa.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results