News
Kulingana na Doudou Fwamba, waziri wa fedha wa DRC, kuendelea kukaliwa kwa maeneo makubwa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kunasababisha hasara ya 4.5% ya mapato ya bajeti ya serikali.
Tunaangazia ripoti ya habari ambayo imebuniwa na AI inayoashiriwa kutoka kwa shirika la habari la SABC News, ikidai rais wa Ukraine Zelensky amewekeza katika kampuni ya madini kule Afrika Kusini.
Mwanaume huyu mwenye umri wa miaka 50 amejizolea sifa kwa kutaifisha baadhi ya mali zinazomilikiwa na mataifa ya kigeni, kupanua sauti katika taasisi za kisiasa kwa kuruhusu wapinzani na wahusika ...
Katika siku chache hizi kumetokea kisa cha kipekee nchini Kenya kinachodhihirisha mgongano kati ya sanaa na siasa , Shule ya wasichana ya Butere, kwa mara ya pili ndani ya miaka 12 imejipata ...
Balozi Sefue ameyasema hayo mjini Kampala nchini Uganda, wakati akiwasilisha mada kuhusiana na maendeleo endelevu ya kiafrika katika upande wa elimu katika kongamano la 8 la Uongozi wa Afrika (ALF), ...
Nchini Tanzania shirika la kiraia la Dayspring Foundation kwa miaka mitatu sasa limekuwa linajikita katika uchechemuzi wa kutokomeza aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake na watoto limetambua hilo ...
Kwa mujibu wa Bi. Mbene lengo ni kwenda kila mkoa nchini Tanzania japo kwa sasa wako katika mikoa kumi na tatu ambayo inajumuisha Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Amesema katika kufanikisha lengo ...
Zaidi ya watu 1,000 wamekufa nchini Myanmar na wengine zaidi ya 2,000 kujeruhiwa kufuatia tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilisikika pia katika nchi jirani ya Thailand. Wako wafanyakazi zaidi ya 100 ...
Siasa 02.04.2025 2 Aprili 202506:00 dakika ...
Na Mwandishi Wetu Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepata tuzo ya ushindi wa utoaji wa huduma bora za afya kwa mwaka 2025 katika kundi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results