News
Kulingana na Doudou Fwamba, waziri wa fedha wa DRC, kuendelea kukaliwa kwa maeneo makubwa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kunasababisha hasara ya 4.5% ya mapato ya bajeti ya serikali.
Tunaangazia ripoti ya habari ambayo imebuniwa na AI inayoashiriwa kutoka kwa shirika la habari la SABC News, ikidai rais wa Ukraine Zelensky amewekeza katika kampuni ya madini kule Afrika Kusini.
Derek Fisher, owner of Wing-Itz, said he spent the past year researching beef tallow as a replacement for the seed oil his restaurant had used for years. Last month, he made the switch to beef ...
Mwanaume huyu mwenye umri wa miaka 50 amejizolea sifa kwa kutaifisha baadhi ya mali zinazomilikiwa na mataifa ya kigeni, kupanua sauti katika taasisi za kisiasa kwa kuruhusu wapinzani na wahusika ...
Uamuzi huu ulikuwa wa kihistoria kwani ni mara ya kwanza kwa rais wa taifa hilo kuondolewa madarakani kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi katika zama za kisasa. Kabla ya tukio hilo, Korea Kusini ...
Balozi Sefue ameyasema hayo mjini Kampala nchini Uganda, wakati akiwasilisha mada kuhusiana na maendeleo endelevu ya kiafrika katika upande wa elimu katika kongamano la 8 la Uongozi wa Afrika (ALF), ...
Nchini Tanzania shirika la kiraia la Dayspring Foundation kwa miaka mitatu sasa limekuwa linajikita katika uchechemuzi wa kutokomeza aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake na watoto limetambua hilo ...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Amri Mkalipa akizindua kampeni ya msaada wa kisheria ya 'Samia Legal Aid ' katika Wilaya ya Arumeru katika kata ya Malula Arusha. Migogoro mingi ya ardhi katika Wilaya ya ...
Kwa mujibu wa Bi. Mbene lengo ni kwenda kila mkoa nchini Tanzania japo kwa sasa wako katika mikoa kumi na tatu ambayo inajumuisha Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Amesema katika kufanikisha lengo ...
Zaidi ya watu 1,000 wamekufa nchini Myanmar na wengine zaidi ya 2,000 kujeruhiwa kufuatia tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilisikika pia katika nchi jirani ya Thailand. Wako wafanyakazi zaidi ya 100 ...
Uhusiano wa kimapenzi, ni sehemu muhimu ya maisha ya kila mtu. Mara nyingi, watu wanatarajia kuwa na wenza wanaoendana nao katika mawazo, mitindo ya maisha na maadili. Hata hivyo, wakati mwingine mtu ...
Siasa 02.04.2025 2 Aprili 202506:00 dakika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results