News

Zaidi ya watu 1,000 wamekufa nchini Myanmar na wengine zaidi ya 2,000 kujeruhiwa kufuatia tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilisikika pia katika nchi jirani ya Thailand. Wako wafanyakazi zaidi ya 100 ...
Wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa washirikina wamekamatwa alfajiri hii wakiwa watupu katika madhabahu ya Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro. Tukio hili limeleta ...
Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwana kuangaza namna waendesha bodaboda wanaweza kuchukua tahadhari ya kupambana na maambukizi ya kifua kikuu ...
“Kadri sekta ya mitindo na watumiaji wanavyokumbatia mifumo ya biashara inayozingatia mzunguko endelevu na kuachana na mitindo ya haraka, itakuwa muhimu kusaidia nchi zinazozalisha nguo ili zisiachwe ...
Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo. Dar es Salaam. Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo, amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ...
Raia wawili waliuawa hadharani: mmoja katika wilaya ya Kadutu na mwingine katika eneo la Walungu. Hata hivyo, maafisa wawili wa polisi waliuawa kwa kupigwa risasi, mmoja katika wilaya ya Cimpunda ...
Imezoeleka kwa wafungaji wengi vyakula vinavyoliwa kwa wakati huu ni aina ya mizizi kama vile mihongo, magimbi, viazi vitamu, vyakula ambavyo vyote vipo katika kundi la mlo mmoja, jambo ambalo ...
Amesema Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Dharura, OCHA Tom Fletcher, katika taarifa iliyotolewa leo jijini Geneva, Uswisi. Kwa kuwa ufadhili wa kibinadamu duniani unapungua kwa ...