Wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) mkoani Shinyanga wamesema mzunguko mdogo wa biashara umesababisha washindwe kulipia ...
Umaarufu wake haukuwa kwenye utekelezaji wa majukumu yake pekee, bali hata kwa mwonekano, ubunifu na uchapakazi wake. Polisi nchini Kenya wamewatia mbaroni watu wanne wakiwamo raia wawili wa kigeni, ...
Katika dunia ya sasa, mabadiliko ya mwili na afya ni jambo la kawaida, lakini katika yote ni vyema ukafahamu namna bora ya ...
Kuna mambo fulani yanayoweza kuchochea hamu ya sigara, kwa hivyo ni muhimu kuyaepuka. Ikiwa umezoea kuvuta shisha kwenye ...
Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana nchini, walimu wametakiwa kuweka nguvu katika somo la kilimo kuwasaidia wanafunzi wanaohitimu elimu ya sekondari na kuendelea.
Abubakar Mbanje, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, ameachiwa huru baada ya Mahakama Kuu kumwachia huru.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema amejiandaa kufungwa katika mapambano ya kudai ...
Wafanyabiashara wawili, Quizbat Shirima (38) na Linda Massawe (28) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Jane Doe, ambaye alifungua kesi akiwashtaki, mastaa wa muziki nchini Marekani, Sean “Diddy” Combs na Jay-Z kwa madai ya ...
Msimu uliopita, Simba na Yanga zilitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani za ...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Afya ya eneo la Gaza, mapigano yaliyoanza mnamo Oktoba 7, 2023, yamesababisha madhara ...
Wakati Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetimiza miaka 20, imeendelea kuonyesha mafanikio katika sekta ya elimu ya juu ...